Haleluyaaaa .....Naamru Cole Williams na carbamazepine warudi !!!
Naamru pia Davet na mpendwa Hawachi warudi...
Naamru Bradha pia arudi....
Haya bana,
Jizazi....Maisha yangu bila wewe... Sawa na basi bila Konda....🙁
Afadhali nimekusikia aisee. Na maKorona haya mtu akipotea tu ghafla wala siyo vizuri. Kwa vile uko poa pamoja na wapendwa wako basi mengine yote ni madogo. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Haya bana,
Salama bro, hbr za pande hizo?
Jizazi....
Umekamatika eeeh!?