Haleluyaaaa .....Naamru Cole Williams na carbamazepine warudi !!!
Naamru pia Davet na mpendwa Hawachi warudi...
Naamru Bradha pia arudi....
Haya bana,
Jizazi....Maisha yangu bila wewe... Sawa na basi bila Konda....π
Afadhali nimekusikia aisee. Na maKorona haya mtu akipotea tu ghafla wala siyo vizuri. Kwa vile uko poa pamoja na wapendwa wako basi mengine yote ni madogo. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Haya bana,
Salama bro, hbr za pande hizo?
Jizazi....
Umekamatika eeeh!?