Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Meli iliyowaokoa wahamiaji katika bahari ya Mediterania imetangaza hali ya hatari jana baada ya abiria wake sita kujaribu kujiuwa na mapigano yalizuka ndani ya meli hiyo.
Atleast jana tumekaa top 4 kwa muda japo tukaondolewa tena,hope hadi msimu kuisha tunaingia top 4GGMU
Kweli kabisa top 4 muhimu ili tuache kuombea mabaya city,hivi adhabu yao kule UEFA tayari au bado?Atleast jana tumekaa top 4 kwa muda japo tukaondolewa tena,hope hadi msimu kuisha tunaingia top 4
Kijana kaiamsha timu nzima,mechi za man u siku hizi zinaleta raha sanaBruno Fernandez
Hili la kuhusu adhabu ya City sijalifatilia, nafikili UEFA itatoa tamko rasmi baada ya hali kutuliaKweli kabisa top 4 muhimu ili tuache kuombea mabaya city,hivi adhabu yao kule UEFA tayari au bado?
Game za United za siku hizi unaangalia mwanzo mwisho,kijana anajua sanaKijana kaiamsha timu nzima,mechi za man u siku hizi zinaleta raha sana
Huyu siyo Msukuma. Kwa mbwembwe hizi huyu lazima Mhaya. Wasukuma siyo watu wa show off namna hii [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaa, yeye na wenzake William Mpiluka, "Mufindi, Tumtemeke Sanga, Makete, Jenerali Ulimwengu, "Taifa" walisumbua sana kwenye hoja ya kudai serikali huru ya Tanganyika, sambamba na wabunge wanazo 53.Dah !!!
Huyu mwamba bunge la 1985/1990? wakidai serikali ya Tanganyika.....
Ilikuwa spika Pius Msekwa akitamka tu " Mh. Njelu Kasaka swali la nyongeza" ilikuwa ni burudani tosha.
Apumzike kwa amani....
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke wa hivi nikipona hata awe Afghanistan nitakwenda kumsalimia....
Show nyikani[emoji23][emoji23]Mzee baba simamia show acha kuunguruma bila sababu [emoji16]
View attachment 1496699