Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120]
FB_IMG_1593790183791.jpg
 
Basi nimekumbuka macho ya davetView attachment 1498355
Acha bana. Macho yale mabinti yalikuwa yanawalevya mpaka wanajikuta weshaanzisha sredi za uzinduzi bila kujijua. Halafu King alikuwa mwoga balaa. Akizinduliwa tu ndukiiiii [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Mpaka baadaye alipokuja kuzoea ndiyo akaseto sasa. Bila shaka yuko salama huko aliko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom