mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
I miss you Bro 😊😊
Huonekani kabisa yaani. Hujambo dadangu mpole na mpendwa sana?I miss you Bro [emoji4][emoji4]
Sijambo Kaka yangu mpendwa.... habari za siku nyingi?Huonekani kabisa yaani. Hujambo dadangu mpole na mpendwa sana?
Mimi niko mzima kabisa. Usiwe unapotea sana. Mara moja moja upitage na kuturushia nyimbo zako pendwa hata kama ni kimya kimya. Endelea kubarikiwa sis [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijambo Kaka yangu mpendwa.... habari za siku nyingi?
Amina 😍😍Mimi niko mzima kabisa. Usiwe unapotea sana. Mara moja moja upitage na kuturushia nyimbo zako pendwa hata kama ni kimya kimya. Endelea kubarikiwa sis [emoji1545][emoji1545][emoji1545]