Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hizo goal alizofunga Pele walihesabu mpka friend mechi nini
Bonge la rekodi
Full beki bora kabisa kwa kipindi hiki
HahahahaBasi nimekumbuka macho ya davetView attachment 1498355
Ina episode ngapi?Hii tamthilia ndefu balaa View attachment 1498381
Acha bana. Macho yale mabinti yalikuwa yanawalevya mpaka wanajikuta weshaanzisha sredi za uzinduzi bila kujijua. Halafu King alikuwa mwoga balaa. Akizinduliwa tu ndukiiiii [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Basi nimekumbuka macho ya davetView attachment 1498355
Saint Anne akiiona hii picha fulu kulegea [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
200Ina episode ngapi?