Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwahivo unapotaka kuchambua hali ya afya yako ni muhimu zaidi kutazama harufu ya ushuzi na dalili zingine unazopata baada ya kujamba.
Sawa naibu Waziri wa Afya wa Serikali Jamuhuri ya Tanzaniasidanganyiki na siasa uchwara......nite naibu waziri wa afya mtarajiwa
serikali ya zanzibar na si muunganoSawa naibu Waziri wa Afya wa Serikali Jamuhuri ya Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23]wivu muhimu........ unaitwa bwana, wakati mimi naitwa dae urojooooo
alah!
Vitamutamukula nini?
Hahahah daah haahakwani watu wa Mwanza wanajamba?
Kwahivo unapotaka kuchambua hali ya afya yako ni muhimu zaidi kutazama harufu ya ushuzi na dalili zingine unazopata baada ya kujamba.
Sawa naibu Waziri wa Afya wa Serikali Jamuhuri ya Tanzania
AiseeTatizo hili laweza kuwa ni mabadiliko ya mazingira ya ndani ya tumbo (microbiome), kutokana na kukua kwa bakteria wabaya au fangasi.