mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Baadhi ya mazungumzo ya simu ya wanachama hao sita wa CCM yalivujishwa kwenye mitandao nchini Tanzania wakizungumzia masuala mbalimbali kukihusu chama na mwenyekiti wake.
Kuchapiwa hakuepukiki, amesha jiandaa kisaikolojia.Kakurupuka ,wa hivi kuchapiwa rahisi sana
Wasichana wakishavunja ungo kesi zinaanzia hapo
Amefanya vema, maana aliwekwa kwenye mabano asijue bado ni mwanachama wa CCM au ametemwa.Bernard Membe arudisha kadi ya uanachama CCM
Safi sanaMembe aliyesindikizwa na mkewe,ameandika pia barua kukishukuru chama hicho kwa wema wato waliomtendea.
Vizuri tuKiongozi huyo wa zamani amerudisha kadi ya uanachama ingawa Chama cha Mapinduzi kilishamfukuza uanachama .