Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1594046152329.jpg
 
hii leo Membe hajasema anaelekea chama gani cha siasa japo wiki iliyopita aliiambia BBC kuwa endapo upinzani nchini humo utaungana na kumwomba ajiunge atafanya hivyo. Membe pia anatarajiwa kugombea urais mwezi Oktoba. Wiki iliyopita, Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe alimualika Membe ajiunge na upinzani.
Ajiunge na chama hicho ili watengeneze combination ya kueleweka pamoja na Maalim Seifu
 
Back
Top Bottom