mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Shida ni urais hakuna lingineMakamba amesamehewa, huku Kinana akionywa kwa karipio.
Katibu Mwenezi wa CCM Humphrey Polepole alidai kuwa mwenendo wa Membe umekuwa si wa kuridhisha toka mwaka 2014.
KabisaShida ni urais hakuna lingine
WHO walitupa taadhali mapema hakuna dawa
Inaitwaje mkuuSeries yenye moto mkali kichapo mwanzo mwisho...View attachment 1499090
Uchumi wa KatiDar mpya..View attachment 1499096
AiseeKanyaga kanyaga View attachment 1499088
Kwakuwa CCM haijakataza kikatiba ni makosa kusema kuwa kuna usaliti.Membe amekuwa akihusishwa kwa muda mrefu na mipango ya kutaka kugombea tiketi ya urais kupitia CCM mwaka huu, hatua ambayo baadhi wanaitafsiri kama usaliti.
Katiba ndiyo kila kitu, kama Katiba inaruhusu sioni tatizo hapoJapo katiba ya CCM inaruhusu hilo, imekuwa ni ada ya chama kumuachia rais aliye madarakani kupita bila kupingwa kwa awamu ya pili ya urais.
Mi ni mmoja waoBaadhi ya watu tayari wanatafsiri kufukuzwa kwa Membe ni kutokana na kuhusishwa huko na mipango ya Urais.
Ajiunge na chama hicho ili watengeneze combination ya kueleweka pamoja na Maalim Seifuhii leo Membe hajasema anaelekea chama gani cha siasa japo wiki iliyopita aliiambia BBC kuwa endapo upinzani nchini humo utaungana na kumwomba ajiunge atafanya hivyo. Membe pia anatarajiwa kugombea urais mwezi Oktoba. Wiki iliyopita, Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe alimualika Membe ajiunge na upinzani.
Alhamdulillah [emoji120][emoji120]Sio kila aliyelala jana amepata nafasi ya kuiona siku ya leo.
Mshukuru Mungu kwa kukupa zawadi ya uhai na pumzi..
Mwaka wa makombe, kila kona Kombe tu daaa, hadi raha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu wa miaka tisa kabakwa huo ungo sidhan kama alivunjaWasichana wakishavunja ungo kesi zinaanzia hapo
Mmmmh, ukiona hivyo jua kuna manufaa ya kipesa hapo