Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kufukuzia dame hadi umpate huwa ni kibarua aisee...
53c7ab531e8b602f5141216f4e3dbdab.jpg
 
ujio wake utakwenda kuvunja ukawa......
chadema watapitisha mgombea wao uchaguzi huu (either lissu, mbowe au nyalandu)

upinzani watakuwa na mtihani wa kujitakia
Kwani Ukawa bado ipo?
Nadhani kujitenga kwa chama cha NCCR Mageuzi, kugawanyika kwa chama cha CUF ni hatua kadhaa za kusambaratika kwa Ukawa.
Nadhani kila chama kiende na njia yake, maana pamoja na mafanikio yaliyopatikana chini ya Ukawa usisahau pia Ukawa ndiyo sababu namba moja ya kupotea kwa wabunge watano wa NCCR Mageuzi na kubaki na mmoja.
Pia Ukawa ndiyo chanzo cha kupasuka kwa chama cha CUF.
Muungano wa vyama unapaswa kuangalia siasa za uchaguzi na baada ya uchaguzi.
 
Hebu dadavua kidogo kinachoendelea hapa mkuu. Nimeishia kumkumbuka Kezilahabi - bingwa wa tashtiti (satire) kuhusu maisha, Mungu na nafasi ya binadamu katika ulimwengu huu.
njiti iliyowaka ni maskini wa fedha lkn si masikin wa mawazo yakumpatia fedha huenda shida yake ni mtaji kidogo ili nyota yake ing'are lkn njiti ambayo haijawaka n tajiri wa fedha lakini hana mawazo ya kuzalisha fedha yake zaidi yaani mtaji anao ila wazo la biashara hana so wanahitajiana watu hawa kukamilisha lengo I guess though maana huenda zikawa nyingi tu...wanasema a picture worth thousand words..kama cjakosea.
 
Usijekuta yote hii ni mikakati ya CCM. Yeye akagombee ACT halafu Lissu CHADEMA wagawane kura wapigwe kirahisiiii mchana kweupe. Na usije kushangaa baada ya patashika yote hii huyooo anarudi zake CCM. Wapinzani wangeachana naye huyu waende na Lissu.

Ila jamaa wanapiga hela ndefu sana kwenye haya mambo aisee. Akina miye acha tuendelee kupiga makofi tu....
Bado naiona CCM ikitawala kwa miaka mingi ijayo, maana wana mipango mingi sana ya kuwapa ushindi
 
Back
Top Bottom