Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mkurugenzi wa korean drama akiambatana na bwana ...............
1594052803464.png
 
ujio wake utakwenda kuvunja ukawa......
chadema watapitisha mgombea wao uchaguzi huu (either lissu, mbowe au nyalandu)

upinzani watakuwa na mtihani wa kujitakia
Usijekuta yote hii ni mikakati ya CCM. Yeye akagombee ACT halafu Lissu CHADEMA wagawane kura wapigwe kirahisiiii mchana kweupe. Na usije kushangaa baada ya patashika yote hii huyooo anarudi zake CCM. Wapinzani wangeachana naye huyu waende na Lissu.

Ila jamaa wanapiga hela ndefu sana kwenye haya mambo aisee. Akina miye acha tuendelee kupiga makofi tu....
 
Khantwe ameiona hii? Najua tu atakugeuzia kibao, badala ya huyo jamaa kuwa Mkinga atakuwa Msukuma; we subiri tu! [emoji28][emoji28][emoji2089][emoji2089]
Nimeshatega tayari; na niliyemtag hapo ni yeye. Ngoja tusubiri ila naamini utabiri wako utakuwa sahihi kabisa. Hatabiriki Mkinga yule aisee; na ukizubaa unaweza jikuta ushakula za uso tayari [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom