mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Siyo rahisi kuijenga Man United irejee makali yake kwa muda mfupi kiasi hicho.Ni kweli lakin haitachukua muda mrefu kama ilivyokuwa kwa liverpool..yani bila Klopp sijui kwa kweli inabidi mumtengenezee kumbu kumbu hapo Anfield
Kuna waliobahatika zaidi ya mara moja.Baadhi ya nyakati hujitokeza mara moja tu maishani...View attachment 1500435
Hiyo nayo atasema zama za mawe, hivyo rais wa kwanza atakuwa Mkapa.Mkuu unamawenge www Raisi wa kwanza wa Tanzania nani
Huyu ngosha mwenzangu kuna nati haziko sawa. Anatia huruma sana
Login • Instagram
hapo mwisho umepatia kabisa mkuu, nikweli naogopa Sana kushindwa naicho kitu kinanifanya niwe makini Sana kwa kila ninalolifanya?Hukuwa wazi ndo maana nimepuyanga sana...Hatua ya kwanza ya kupatiwa msaada ni kuelezea tatizo kwa ufasaha na uwazi kwa kadri inavyowezekana.
Uko perfectionist kwani? Ni mtu unayeogopa sana kushindwa?