myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wa daladala na bajaji
Kaazi kweli hapo..Hisabati hiii bila shaka. View attachment 1500834
Unajua nini? Umekuwa mpole mno mpaka unatia wasiwasi aisee. What happened? Did you get married? Are you pregnant? Umeokoka? What is going on? I miss my role model. The ngangari one. I real do...So sad kwa shishi kapigwa vibaya.
Mmh kipigo hakivumiliki. Bro the don shukrani kwa msaada in advance
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua nini? Umekuwa mpole mno mpaka unatia wasiwasi aisee. What happened? Did you get married? Are you pregnant? Umeokoka? What is going on? I miss my role model. The ngangari one. I real do...
...
Iko namna...Unajua nini? Umekuwa mpole mno mpaka unatia wasiwasi aisee. What happened? Did you get married? Are you pregnant? Umeokoka? What is going on? I miss my role model. The ngangari one. I real do...
...
Bado nipo ngangari zile ni stress tu,nilifiwa na mtu muhimu. Kupona ilichukua muda sana. Nafurahi kurudi kawaida. May her Soul Rest in Peace. AmenUnajua nini? Umekuwa mpole mno mpaka unatia wasiwasi aisee. What happened? Did you get married? Are you pregnant? Umeokoka? What is going on? I miss my role model. The ngangari one. I real do...
...
Hahahah hamna jiraniIko namna...
Sawa jirani....Hahahah hamna jirani
Aiseee. Pole sana. Jamani si ungesema? Mpendwa wako Apumzike salama...Bado nipo ngangari zile ni stress tu,nilifiwa na mtu muhimu. Kupona ilichukua muda sana. Nafurahi kurudi kawaida. May her Soul Rest in Peace. Amen
Amen. Humu sio pa kusema yoote. Asante bro.Aiseee. Pole sana. Jamani si ungesema? Mpendwa wako Apumzike salama...
Na tumshukuru Mungu kwa kukuvusha salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Daaahh,hii inasikitisha sana!Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu niliposikia wanawake wenzangu wakipigwa niliwaambia PAZENI SAUTI, niliposikia mwanamke kule Kigamboni ameuwawa na kuchomwa moto niliomboleza na jamii na kusema Bora angesema".. huku mimi nikijikausha na kujitoa kwenye kundi lao wakati ukweli wangu MIMI NI MWENZAO, Naomba radhi. . Mimi ni kioo cha jamii, tena sura kubwa ya wanawake. Leo numeona nivunje ukimya kwa kuweka wazi kwamba MUME WANGU ASHRAFU SADIKI, maarufu kama UCHEBE AMEKUWA ANANIPIGA SAAANA, na tena hata baada ya kunipiga hajali kupiga simu wala kujua naendeleaje, nauguzwa na watu baki hospitali, na bado manyanyaso mengine yanayoikosesha hii ninayoiita Ndoa uhai na furaha na zaidi nina WATOTO, watoto wanaoniangalia kama Baba na Mama, leo nikubali kufa na kuacha wanangu barabarani, SITAWEZA . 'Uchebe' ni mwanaume niliyempenda, nilimvumilia kwa madhaifu yote, nikampa kila kitu, (Utu wangu, Mali Zangu na hata palipotakiwa kumuendeleza asimame mwenyewe nilifanya kwakuwa nilijua tuko pamoja), lakini HILO HALIKUWAHI KUZUIA VIPIGO, DHARAU NA USALITI. . Siku 2 zilizopita baada ya kutoka SABASABA KUTAFUTIA WATOTO WANGU NA KUMTAFUTIA YEYE NILIPIGWA SANA. SABABU ZA KUPIGWA NI MIGOGORO MIDOGO YA KAWAIDA AMBAYO IPO KWENYE KILA NDOA, sio kwamba amenifumania au mambo yanayoshindwa kuzungumzika, hapana, Tena Namuheshimu sana, lakini solution aliyoiona ni kunipiga kinyama bila huruma, tena kwa kunishtua na ngumi nikiwa usingizini, Kama mnavyoona picha hapo ni matukio ya siku tofauti tofauti. Najua nitalaumiwa kwa kuweka hili mtandaoni, ILA SINA NAMNA, MAISHA YANGU NI MAISHA YA WATU KWA KIASI KIKUBWA, JAMII INANITAZAMA KAMA MFANO.. Nimefika mwisho, na kuanzia sasa naomba nisitambulike kama Mke wa Uchebe, ila Mama alieamua kuweka maslahi ya watoto wake mbele na kuamua kuwa mwenyewe kwa usalama na furaha yake Wakati nahangaikia mambo yangu ya ndoa, post hii itumike kuwakumbusha wanawake TUVUNJE UKIMYA, TUPINGE UKATILI, TUTAKUJA KUULIWA SABABUView attachment 1500917
Pole sana esta,Bado nipo ngangari zile ni stress tu,nilifiwa na mtu muhimu. Kupona ilichukua muda sana. Nafurahi kurudi kawaida. May her Soul Rest in Peace. Amen
Pole sana esta,
Sana tu kipigo kikaliDaaahh,hii inasikitisha sana!