Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Hatujambo. Za muda mrefu? Mko out of lockdown sasa mnaweza kwenda mpendako bila shida?Hamjambo
Niko mzima mimi na sina ubaya.. Huku mambo yamerudi yalivyo kuwa hapo nyuma isipokuwa upande wa kanisa na masomo pekeeHatujambo. Za muda mrefu? Mko out of lockdown sasa mnaweza kwenda mpendako bila shida?