capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Pole sana.Bado nipo ngangari zile ni stress tu,nilifiwa na mtu muhimu. Kupona ilichukua muda sana. Nafurahi kurudi kawaida. May her Soul Rest in Peace. Amen
Asante cocoPole sana.
Naona shule mpaka January 2021Niko mzima mimi na sina ubaya.. Huku mambo yamerudi yalivyo kuwa hapo nyuma isipokuwa upande wa kanisa na masomo pekee
Kuvumilia kupigwa sidhan kama nitakuja weza, kuna Wanawake wameumbwa na uvumilivu JamanSana tu kipigo kikali
Raha ya kuonekana na pete mbili si mchezo. Yale maisha ya kuigiza wengi wanayapenda sanaKuvumilia kupigwa sidhan kama nitakuja weza, kuna Wanawake wameumbwa na uvumilivu Jaman
Namwonea huruma sanaRaha ya kuonekana na pete mbili si mchezo. Yale maisha ya kuigiza wengi wanayapenda sana