Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli. Ila wanaume wengi hawapendi kufunguka hivyo sidhan kama uchebe ataeleza tatizo
Wanaume ni wasiri, hata akikosewa hawezi kusema.
Nadhani huyu dada achague njia ya kumalizana na huyo jamaa kiimani.
Hawezi kupata msaada wa maana mitandaoni, sanasana atapata msaada wa kisheria ili akamfunge huyo mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…