moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipo matakoni mwako...[emoji28]View attachment 1501264
Ndiyo maana huwa sichangii habari za aina hiyo.Mkuu hawa watoto wapo wawili, mwenzake anaitwa Tausi, hawashauriki kwa namna yoyote ile, huyo mwenzake kauza nyumba Igunga kaja kakioa kivulana wanaishi Kiwalani.Mtoto wake mkubwa ni damu yetu na nimemlea mimi.
Hayo mambo kayaleta mtandaoni ila sio mapya, ni ya muda.
Sijafurahia kupigwa kwake ila binti ni mchafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh!!