moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nassari - amerudisha mashamba ya nani? Ya kwako au ya nani? Nasikia hata Sumaye alisharudishiwa ya kwake [emoji16][emoji16][emoji16]
Bwana mdogo alijichanganya akasahau ubunge kisa kapeleka mke akajifungulie Marekani mtoto apate uraia wa huko. Bila shaka CCM watamrudishia ubunge wake...Piga hela bw mdogoView attachment 1501418
Wanasiasa bana...kugeuza gia angani kawaida tu wala hawaoni aibu...Tumbo....
Utani unaomnyima raha mtu mwingine ndio utani gani sasa huo? Unaweza kunitania vyovyote ila sio kwa majokaSamahani. Nimeshaacha na sitakutania tena. Ni utani tu wakati mwingine unazidi. Na ushamba wa Kisukuma. Samahani sana. It won't happen again [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Umenisamehe?
Niliona nikagundua ila ni kabla hujabadili avatar. Ingekuwa avatar hii nisingegundua mapema aisee.Savage
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtindo huu upo sana. Usiwaone maselebriti wana vimbwa vyao...vina kazi adimu vile [emoji16]Mbwa wa kizungu[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1501319
Shwari DepalNipo, mambo yako?
[emoji38][emoji38]