Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Friji ya Coca Cola unaweka maji wenye friji yao wakikunyang'anya utasemaje?
[emoji23][emoji23]uchebe anadunda kabisa!
Tena spana malaya hii. Naamini ulikuwa hujazaliwa wakati hii inatumika [emoji16][emoji16][emoji16]Alieipa jina hii spana Mungu anamuona...[emoji28]View attachment 1501267
Utayaona ya Firauni....[emoji23][emoji23] ukishangaa ya Musa
#Hakuepukiki [emoji16][emoji16][emoji16]
Sonny Liston hoii...Amka nikupe hela...View attachment 1501505
Mgombea urais huyu halafu [emoji16][emoji16][emoji16]Lazma uchakae...View attachment 1501503
[emoji23][emoji23] wacha wewe miaka ya 2000 hii kitu ilikuwa inatumika sana tuTena spana malaya hii. Naamini ulikuwa hujazaliwa wakati hii inatumika [emoji16][emoji16][emoji16]
Ilikuwa inatumika wapi?[emoji23][emoji23] wacha wewe miaka ya 2000 hii kitu ilikuwa inatumika sana tu
Ilibidi kabla ya kujua firauni alifanya nn tujue ya Mussa kwanzaUtayaona ya Firauni....
Huyu Firauni sijui alifanya nini [emoji16][emoji16][emoji16]