moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nipo, mambo yako?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo masai wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah
Samahani. Nimeshaacha na sitakutania tena. Ni utani tu wakati mwingine unazidi. Na ushamba wa Kisukuma. Samahani sana. It won't happen again [emoji1545][emoji1545][emoji1545]With all due respect Mr SHIMBA YA BUYENZE, Unachokifanya ni utoto. Sijui hata kwa nini unafanya hivi, kama unaweka majoka weka kwa raha zako...unanitag ili iweje?