Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu,mambo ya kwenye mitandao sio ya kuyaamini sana.Mimi nikisema nina hiki na hiki bado hautakiwi kuniamini maana ni maneno/picha tu ninazo kuonyesha uhalisia haupo.
Tafuta watu wachache muaminiane basi mtajengana lakini sio mambo ya timu fulani

Kweli nimeamini watu mitandaoni waongo sana kila mtu anataka kuaminisha watu yuko Happy, anapendwa, ana hela, ana mafanikio, hata kama sio kweli... Wengine hadi Mavazi yao wanakopa madukani kwa watu.
 
Muziki unaoshikilia rekodi ulitokea kule Chile...

20200709_165355.jpg


Na magnitude 9+ ilishatokea zaidi ya mara tatu...

20200709_165330.jpg
 
Nimemdharau mwanamke huyu alivodanganya watu Kaolewa na Politician wa SA, baada ya Diamond kuwa single na KingBae kayayuka 🤣🤣
Mwanzo nilifkiri watu wanamwonea kumbe kweli
Hizi habari huwa zinapita kushoto sijui A wala B! BTW maisha ni kuchagua.

Ipo msemo wanasema kama ukiamua kuwa malaya fanya kwa uaminifu, ulevi, Mcha Mungu vivyo hivyo.
Kupitia msemo huo anaweza kuwa na hoja!

Yupo mmoja Mtanzania maarufu sana aliwahi kuwa Miss Tz sitaki kumtaja, yeye ni Malaya hasiye jitambua kuwa ni malaya kama anajitambua basi hana akili!.
 
Kweli nimeamini watu mitandaoni waongo sana kila mtu anataka kuaminisha watu yuko Happy, anapendwa, ana hela, ana mafanikio, hata kama sio kweli... Wengine hadi Mavazi yao wanakopa madukani kwa watu.
Jamani yaani niwe masikini huku Mbagala na mtandaoni mnataka niwe masikini. Nevaaaa !!![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kweli nimeamini watu mitandaoni waongo sana kila mtu anataka kuaminisha watu yuko Happy, anapendwa, ana hela, ana mafanikio, hata kama sio kweli... Wengine hadi Mavazi yao wanakopa madukani kwa watu.
Yes, ni moja ya utumwa mbaya sana. Ridhika na maisha yako mitandaoni ni porojo tu, tunavyo tangaza humu tunavyo kiuhalisia hatunavyo, tunapigika ipasavyo.
 
Hizi habari huwa zinapita kushoto sijui A wala B! BTW maisha ni kuchagua.

Ipo msemo wanasema kama ukiamua kuwa malaya fanya kwa uaminifu, ulevi, Mcha Mungu vivyo hivyo.
Kupitia msemo huo anaweza kuwa na hoja!

Yupo mmoja Mtanzania maarufu sana aliwahi kuwa Miss Tz sitaki kumtaja, yeye ni Malaya hasiye jitambua kuwa ni malaya kama anajitambua basi hana akili!.

Labda atakua ashajirekebisha sshv 😀
Si unajua tunajifunza kutokana na makosa,
Unless awe sikio la kufa
 
Kwenye Java sijaona hata namba moja [emoji1][emoji1][emoji1]
Programming haisomwi hivyo, unatakiwa kujua kwanini unataka kujua lugha hiyo,

Lengo:

Unataka kufanya nini na lugha hizi, kutengeneza Games, Phone App ama Web? then nitakuambia nini cha kujifunza kuendana na interest.
Kwa hivyo tukionana tena hapa ujena jibu Anko.
 
Back
Top Bottom