Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Programming haisomwi hivyo, unatakiwa kujua kwanini unataka kujua lugha hiyo,

Lengo:

Unataka kufanya nini na lugha hizi, kutengeneza Games, Phone App ama Web? then nitakuambia nini cha kujifunza kuendana na interest.
Kwa hivyo tukionana tena hapa ujena jibu Anko.
Mimi ni kutengeneza App za kwenye simu na kurekebisha rekebisha kiwebsite changu mara chache chache. Nianzie wapi bro?
 
Ahsante mkuu, ndio maana hapo awali nimesema niandae maelezo ili ujue unanisaidiaje.
Mimi nipo gizani kwa kitu ninacho kipenda. Zamani nilikuwa nayasikia sijui ni Linux,cisco...(sijui kama nimepatia) nikajiapia lazima nisome, shida sikuzingatia nyota ya kijani kwenye uzazi...
 
"Kidile Mwali Kivika" kwa wana wa jiji
FB_IMG_1594329878560.jpg
 
Mimi ni kutengeneza App za kwenye simu na kurekebisha rekebisha kiwebsite changu mara chache chache. Nianzie wapi bro?
Inabidi uwe na Basics za java script, CSS na HTML! tools pia 'Visual studio'.

Codding Basics zake (JS)
- Loops
-Variables
- If statement
-Function and Arrays ni muhimu kuzifahamu.

Kwa hivo Unaweza kuanza kupitia Tutorial mbalimbali ili kujua maana ya vitu hizo na Application zake.
 
Inabidi uwe na Basics za java script, CSS na HTML na tools zake kama Vile Visual studio.

Codding Basics zake (JS)
- Loops
-Variables
- If statement
-Function and Arrays ni muhimu kuzifahamu.

Kwa hivo Unaweza kuanza kupitia Tutorial mbalimbali ili kujua maana ya vituhizo na Application zake.
Jizazi [emoji15][emoji15][emoji15]

Ila asante. Nitajaribu aisee. Mrejesho utakuja...
 
Back
Top Bottom