Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimemdharau mwanamke huyu alivodanganya watu Kaolewa na Politician wa SA, baada ya Diamond kuwa single na KingBae kayayuka 🤣🤣
Mwanzo nilifkiri watu wanamwonea kumbe kweli
Daah haters mpo vizuri. Si kila siku mnamuita malaya. Hii dharau mlimdharau tangu awe na domo. Kila siku mnabadilisha sababu za kumdharau mna kazi kubwa pole zenu.

Anyway K ni yake acha aitumie atakavyo. Gari tu mmeumia je akipewa nyumba nyine daah
 
Kabisa kabisa yaan tumebakiwa na Southampton nyumbani tunamla.
Crystal palace ugenini japo huwa ni mbaya wetu tutamla tu.
West Ham nyumbani atakalia tu hakuna namna.
Sasa huyo Leicester game ya mwisho atajua hajui, atasukumiwaje moto hataamini.GGMU.
Ina maana ili mkolifai mnatskiwa mechi zote zilizobaki?
Hebu ngoja nipitie tebo nijionee washindani wenu
 
Ina maana ili mkolifai mnatskiwa mechi zote zilizobaki?
Hebu ngoja nipitie tebo nijionee washindani wenu
Ndiyo ni ushindi na kwa kweli sioni wa kutusimamisha hata FA Chelsea aandae mafuta tu..😂

Search

TeamPWDLGDPts
1team hasn't movedLiverpool3430224992
2team hasn't movedMan City3422395269
3team hasn't movedChelsea34186101760
4team hasn't movedLeicester3417893259
5team hasn't movedMan Utd34161082658
6team hasn't movedWolves3413138852
7team hasn't movedSheff Utd3413129251
8team hasn't movedArsenal3412148850
9team hasn't movedTottenham34131011849
10team hasn't movedBurnley3414713-849
11team hasn't movedEverton3412913-845
12team hasn't movedSouthampton3413516-1344
13team hasn't movedNewcastle34111013-1543
14team hasn't movedCrystal Palace3411914-1342
15team hasn't movedBrighton3481214-1136
16team hasn't movedWest Ham348719-1931
17team hasn't movedWatford3471017-2231
18team hasn't movedBournemouth347720-2728
19team hasn't movedAston Villa347621-2927
20team hasn't movedNorwich345623-3
 
Hush kama papi
6fda7a20e42d5797905b3ab3a1746ce0.jpg
 
Ana ugomvi na kila mtu anayeona kamzidi kimafanikio. Huku kwa wasanii ndo fani yake ,wanasiasa kakurupuka tu kwa maslah binafsi
Wafrika tunaishi maisha magumu sana,
Yaani badala ya kupambania maisha yako unahangaika na maisha ya mtu mwingine.
Huo ndiyo uchawi.
Unawezaje kupoteza muda wako na vitu vya watu wengine!?

Halafu marehemu babake namjua na sababu za kujiua kwake nazijua.
Ni vile tu babake pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa mtu wa watu, vinginevyo watu wangeanika unyama aliofanyiwa nabake mpaka kujiua, huyu Mange asingeinua ulimi
 
Mh JF ina watu wazito sana..
 
Haya ndio maisha ya waafrika. Kuna kipinfi alikua na blog kabisa kutwa kusema wenzie na kutoa maneno ya kutaka kuvunja ndoa za wenzie. Mwanamama mmoja kidogo ajiue kwa kuzushiwa skendo ya kuliwa tigo na mchepuko huku yupo ndoani yaan ilikua vurugu mechi.

Kwa mange raha sana sana kuwabully wenzie. Just imagine kamtukana zari kabla tiffa hajazaliwa na alipozaliwa kaanza tukana mtoto na kudai DNA kuwa sio mtoto wa mond,akamtafutia mababa kibao.

Ishu ya baba ake,le mutuz huwa anaitumia ila watoto wa mke halali wa mzee kimambi huwa wanamuomba radhi.
 
Mi nilifanya kazi na marehemu Kimambi tangu wakati huo anaishi mtaa wa Kitomondo Temeke.
Alikuwa mtu mwema mwenye kusikiliza shida za watu.
Ofisini kwake pale mtaa wa Nkrumah kila siku utakuta watu wamejazana, wanamsubiri wapate chochote.
Hata alipopata tatizo lililopelekea kujiua watu tumepiga kimya, ingawa tunakijua kilichosababisha kujiua kwake.
Mange aheshimu watu, maana babake aliheshimika ingawa alikufa kifo kibaya
 
Back
Top Bottom