Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1594343982011.jpg
 
Mi nilifanya kazi na marehemu Kimambi tangu wakati huo anaishi mtaa wa Kitomondo Temeke.
Alikuwa mtu mwema mwenye kusikiliza shida za watu.
Ofisini kwake pale mtaa wa Nkrumah kila siku utakuta watu wamejazana, wanamsubiri wapate chochote.
Hata alipopata tatizo lililopelekea kujiua watu tumepiga kimya, ingawa tunakijua kilichosababisha kujiua kwake.
Mange aheshimu watu, maana babake aliheshimika ingawa alikufa kifo kibaya
Daah ndo hivyo tena. Sema mange ni mtoto wa nje tena wa housegirl wa hapo kwa mzee,nadhan ana katatizo hako kila akifikiria misukosuko ya utoton anaona kila mtu ni adui yake.
 
Habari za mitqndaoni ni kuwa wote ni matajiri, wote wako high class, wote wametoka mjini, wote wasomi, wote wana mahusiano bora n.k
Tunaosema wa simiyu tumebaki wachache[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu,mambo ya kwenye mitandao sio ya kuyaamini sana.Mimi nikisema nina hiki na hiki bado hautakiwi kuniamini maana ni maneno/picha tu ninazo kuonyesha uhalisia haupo.
Tafuta watu wachache muaminiane basi mtajengana lakini sio mambo ya timu fulani
 
Back
Top Bottom