Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Baada ya kifo cha Julius Caesar , Cleopatra alianzisha mahusiano na aliyekuwa Kamanda mkuu wa Julius Caesar aliyejulikana kwa jina la Mark Anthony ambaye alizaa nae watoto watatu ...Wanavyosema wanahistoria katika mahusiano yake yote ila kwa Mark Anthony ndio alipenda wakapendana... Licha ya Mark Anthony kuwa alikuwa amemuoa Dada wa Augustus