Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee..
Screenshot_20200710-093855.jpg
 
Huyo kijana ni timu domo damu damu. Nyuzi nyingi za kumsifia domo zimeandikwa na huyu mwamba

Akiangalia movie akaipenda mtajua tu

Akiomba app ya movies lazima atauliza ipo google au playstore

Huku kwa leiza wazima kabisa,tunasubiria jiwe lingine liibuke

Za huko je bwana jezi wetu,kijana uliyeuteka moyo wa Depal
😅😅😅
 
Back
Top Bottom