moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshituka nilitaka nishangae
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshituka nilitaka nishangae
Huyu amepita kwa sababu ya system.Dae njoo utie neno. Kukoje huko? Huyu kweli alitakiwa huko au ni sababu tu ya system?
Na wewe ukiwemoKumbe ndiyo hao
Hahaha mpo vizuri mateka wa mioyo yenuHa ha ha aisee, sikuwa najua kama ndio mambo yake hayo, asante kwa kuni update
Huku tupo poa kabsa, uzima upo!!
Ha ha ha.. sema tumetekana bhana!!
Yupo hapa anakusikiliza t [emoji2]
Umeanza[emoji23][emoji23]Tendo la ndoa ni tiba nzuri zaidi ya maumivu ya kichwa kuliko dawa za kutuliza maumivu (Pain Killers).
Ha ha haHahaha mpo vizuri mateka wa mioyo yenu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 anko asione hapo,aone Yegomasika ili ajue dawa ya kichwa sio paracetamol pekeeUmeanza[emoji23][emoji23]
AiseeDaah haters mpo vizuri. Si kila siku mnamuita malaya. Hii dharau mlimdharau tangu awe na domo. Kila siku mnabadilisha sababu za kumdharau mna kazi kubwa pole zenu.
Anyway K ni yake acha aitumie atakavyo. Gari tu mmeumia je akipewa nyumba nyine daah