myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SafiiiMungu ni mwema muda wote.View attachment 1502600
SafiiiMungu ni mwema muda wote.View attachment 1502600
Kweli...Wafrika tunaishi maisha magumu sana,
Yaani badala ya kupambania maisha yako unahangaika na maisha ya mtu mwingine.
Huo ndiyo uchawi.
Unawezaje kupoteza muda wako na vitu vya watu wengine!?
Halafu marehemu babake namjua na sababu za kujiua kwake nazijua.
Ni vile tu babake pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa mtu wa watu, vinginevyo watu wangeanika unyama aliofanyiwa nabake mpaka kujiua, huyu Mange asingeinua ulimi
SafiiiInauzwa ipo kwa MpalangeView attachment 1502705
Hongera mkuuMbona mi kila siku nasema naishi kijijini nalima kila kitu huku.
Maisha yapo hapo.
Na kilimo kinaendelea.
Nyie wa mjini endeleeni kula bata[emoji23]View attachment 1502773View attachment 1502775
Sawasawa... Msitiri mwenzio nawe usitirike....Hayo yameshapita bro, dini haituruhusu kuongelea mabaya ya maiti zetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetoa maelezo wee mwisho una hakiki kwa swali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna mdada mtoto wa Rita Mlaki mtafute, huyo moud umri umeenda na ni mtu wa dini sana hawezi kukupa jibu
[emoji120][emoji120][emoji120]Hongera wakulima wooote..