Minah
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 858
- 2,377
Mkuu,mambo ya kwenye mitandao sio ya kuyaamini sana.Mimi nikisema nina hiki na hiki bado hautakiwi kuniamini maana ni maneno/picha tu ninazo kuonyesha uhalisia haupo.
Tafuta watu wachache muaminiane basi mtajengana lakini sio mambo ya timu fulani
IndeedFanya hivyo mkuu, jionee post za nyuma na jigongee likes.
Raha ya uzi huu ni kuzigonga likes na si kupokea likes
Muziki unaoshikilia rekodi ulitokea kule Chile...
Hizi habari huwa zinapita kushoto sijui A wala B! BTW maisha ni kuchagua.Nimemdharau mwanamke huyu alivodanganya watu Kaolewa na Politician wa SA, baada ya Diamond kuwa single na KingBae kayayuka π€£π€£
Mwanzo nilifkiri watu wanamwonea kumbe kweli
Wala usiwe na wasiwasi. Mavitabu ya kila aina utapata. Kwa wewe mtaalamu wa hesabu itakuwa rahisi kidogo.Shemeji naona kama utanirahisishia mambo, hayo mavitabu kama yapo kwenye soft copy nina haja nayo ng'wanawane
Minah 92. PM yako iko open? Kuna jambo nataka nikuulize....
Jamani yaani niwe masikini huku Mbagala na mtandaoni mnataka niwe masikini. Nevaaaa !!![emoji16][emoji16][emoji16]Kweli nimeamini watu mitandaoni waongo sana kila mtu anataka kuaminisha watu yuko Happy, anapendwa, ana hela, ana mafanikio, hata kama sio kweli... Wengine hadi Mavazi yao wanakopa madukani kwa watu.
ASANTENimeku PM tizama inbox yako.
Nimeona aisee 9.6 ilkua hatari!Muziki unaoshikilia rekodi ulitokea kule Chile...
View attachment 1502444
Na magnitude 9+ ilishatokea zaidi ya mara tatu...
View attachment 1502445
Yes, ni moja ya utumwa mbaya sana. Ridhika na maisha yako mitandaoni ni porojo tu, tunavyo tangaza humu tunavyo kiuhalisia hatunavyo, tunapigika ipasavyo.Kweli nimeamini watu mitandaoni waongo sana kila mtu anataka kuaminisha watu yuko Happy, anapendwa, ana hela, ana mafanikio, hata kama sio kweli... Wengine hadi Mavazi yao wanakopa madukani kwa watu.
Hizi habari huwa zinapita kushoto sijui A wala B! BTW maisha ni kuchagua.
Ipo msemo wanasema kama ukiamua kuwa malaya fanya kwa uaminifu, ulevi, Mcha Mungu vivyo hivyo.
Kupitia msemo huo anaweza kuwa na hoja!
Yupo mmoja Mtanzania maarufu sana aliwahi kuwa Miss Tz sitaki kumtaja, yeye ni Malaya hasiye jitambua kuwa ni malaya kama anajitambua basi hana akili!.
Kwenye Java sijaona hata namba moja [emoji1][emoji1][emoji1]Wala usiwe na wasiwasi. Mavitabu ya kila aina utapata. Kwa wewe mtaalamu wa hesabu itakuwa rahisi kidogo.
Simu hizi vijijini bado zipo na zinafanya kazi vizuri tu. Mwenyewe ninayo nimeitunza bado mpya mpya nikitaka kuzingua watu naitoa [emoji16]
Basi tuseme kajirekebisha!πLabda atakua ashajirekebisha sshv π
Si unajua tunajifunza kutokana na makosa,
Unless awe sikio la kufa
Yes, ni moja ya utumwa mbaya sana. Ridhika na maisha yako mitandaoni ni porojo tu, tunavyo tangaza humu tunavyo kiuhalisia hatunavyo, tunapigika ipasavyo.
Nilitishwa kuwa zimo zimejificha. Eti sijui Set Theory, Probability na mambo ya lojiki sijui ndiyo msingi wake. Aaaaargh !!!Kwenye Java sijaona hata namba moja [emoji1][emoji1][emoji1]
Simu hizi vijijini bado zipo na zinafanya kazi vizuri tu. Mwenyewe ninayo nimeitunza bado mpya mpya nikitaka kuzingua watu naitoa [emoji16]
Programming haisomwi hivyo, unatakiwa kujua kwanini unataka kujua lugha hiyo,Kwenye Java sijaona hata namba moja [emoji1][emoji1][emoji1]
Kama ni huyu mwembamba viguu baada ya kujikondesha ndugu yake kaolewa na rafiki wa bro, hapa jirani na hospitali kubwa mpya ndipo amejenga, huyo miss alifuata viazi vya chips,alitukuta.Basi tuseme kajirekebisha![emoji2]
Jamani yaani niwe masikini huku Mbagala na mtandaoni mnataka niwe masikini. Nevaaaa !!!