Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa maana hiyo wataalam hao wameibuka na ushauri kuwa ni bora watu wakajibidisha kutafuta furaha katika maisha yao kuliko kudumu katika uhangaikia tiba ghali za dawa zinazotolewa na vituo vya afya na hospitali, ilhali mzizi wa magonjwa yao unatokana na wao wenyewe kuishi bila kicheko ambacho kinatafsiri furaha aliyonayo mtu husika (kumbuka sizungumzii kicheko cha kebehi).
 
Kwa mujibu wa wasomi hao imegundulika kuwa kicheko ni tiba na kinga bora ya magonjwa yanayomkabili mwanadamu yakiwemo magonjwa ya moyo ambayo ni hatari sana kwa uhai. Mtu ambaye anaweza kutumia dakika 20 kwa siku kwa kucheka, anaweza kutibu maradhi yake hata bila kumeza vidonge.
 
The Happiness umeiona hii,kama kweli duh ngoja niiwahi kabla hawajaifuta

drama ya backstreet rookie ipo chini ya uchunguzi wa kisheria baada ya watazamaji zaidi ya 6,384 nchini korea kulalamika kuwa inachochea na kuonesh matukio yasiyo na madili hasa ya ng*no! sijajua baada ya uchunguzi kuisha wataacha kuionesh au itakuaje tusubiri maamuzi . . kama hujui ni kwamba korea drama zao zinaoneshwaga kwenye tv na si unajua tv wanaangalia familia kwahiyo kama kuna kitu kimeenda tofaut ndo mambo yanakuwaga hivi, na drama yenyew ndo imenza juzi juzi tu
Wakorea wana nini lakinii☹, ndio kwanza ipo Epsode7 Jamani.!
 
Back
Top Bottom