Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
2. Asili ya Saba Saba ilikuwa kuundwa kwa chama cha Tanganyika African National Union (TANU) kwenye tarehe 7 Julai ya mwaka 1954.
Pesa....Hivi wakenya wanatafuta nini jamani daah
Wafadhili watatoaje pesa wakiacha?Waacha kutangaza ili kupunguza uoga
Mwl nimemuelewa sana! Kasoma University of St. Francis USA na sasa kaamua kurudi zake kwa wana muleba, anafundisha shule ya Msingi huko.