Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wakorea wana nini lakinii☹, ndio kwanza ipo Epsode7 Jamani.!The Happiness umeiona hii,kama kweli duh ngoja niiwahi kabla hawajaifuta
drama ya backstreet rookie ipo chini ya uchunguzi wa kisheria baada ya watazamaji zaidi ya 6,384 nchini korea kulalamika kuwa inachochea na kuonesh matukio yasiyo na madili hasa ya ng*no! sijajua baada ya uchunguzi kuisha wataacha kuionesh au itakuaje tusubiri maamuzi . . kama hujui ni kwamba korea drama zao zinaoneshwaga kwenye tv na si unajua tv wanaangalia familia kwahiyo kama kuna kitu kimeenda tofaut ndo mambo yanakuwaga hivi, na drama yenyew ndo imenza juzi juzi tu
Mwalimu kataja hadi alama alizo pata darasa la saba [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wahaya hawako hivi wallaqi [emoji16][emoji16][emoji16]
Natumaini hio ni habari ya uongo yaani mie nipo nasubiria iishe niivuteWakorea wana nini lakinii☹, ndio kwanza ipo Epsode7 Jamani.!
😃😃unataka kujua wanacholalamika sio.?Natumaini hio ni habari ya uongo yaani mie nipo nasubiria iishe niivute
Mbona mimi nikicheka cheka, nanenepa.9. Husaidia kupunguza uzito
Hahahahaha aunt yaan nateseka hapa ila kesho lazima tu nichungliemo😃😃unataka kujua wanacholalamika sio.?
Hahaha, Aunt wewe kiboko!Hahahahaha aunt yaan nateseka hapa ila kesho lazima tu nichungliemo