Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3. Mwaka 1963 Nyerere pamoja na uongozi wa chama waliamua kupeleka nchi kwenye mfumo wa chama kimoja kisheria. Hivyo mwaka 1964 siku ya kuzaliwa kwa chama yaani "Saba Saba Day" iliorodheshwa katika sheria ya sikukuu za umma (Public Holidays Ordinance Act)
 
4. Tangu mwaka 1967 TANU ilitangaza itikadi ya Ujamaa kama siasa rasmi na hapo ilitumia mara nyingi lugha ya kukazia "wakulima na wafayakazi" kwani ilikuwa kawaida katika vyama vilivyofuata itikadi ya Usoshalisti Duniani. Hivyo sikukuu ya chama ya Saba Saba iliadhimishwa pia kama "sikukuu ya wakulima na wafanyakazi". Mtindo huu uliendelea kutumiwa pia baada ya mwaka 1977 ambako TANU iliungana na Chama cha Afro-Shirazi (ASP) cha Zanzibar kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
 
6. Mwaka 1992 Tanzania ilihamia mfumo wa vyama vingi baada ya miaka mingi ya kuwa na chama cha TANU / CCM pekee. Hapo vyama vipya vilipinga sikukuu ya umma iliyoadhimisha kuzaliwa kwa chama kimoja. Hivyo Sikukuu ya Saba Saba ilifutwa mwaka 1993. Badala yake sikukuu mpya ya Nane Nane yaani 8 Agosti ilianzishwa kama "Sikukuu ya Wakulima
 
Wanasiasa walijadiliana na kufikia mapatano ya kwamba 7 Julai itakuwa tena sikukuu mjini Dar es Salaam ambako maonyesho makubwa hufanyika na 8 Agosti itakuwa sikukuu ya Nane Nane kwa ajili ya wakulima kitaifa.

Kutokana na mabadiliko katika historia yake kuna mchanganyo kuhusu maana ya siku hii ya Saba Saba.
 
Duara la Ushawishi “Circle of Influence” na 2. Duara la Wasiwasi “Circle of Concern”.

Duara la Ushawishi ni yale mambo ambayo yako ndani ya uwezo wako kuyakabili;
yaani kuanzia maamuzi yako utakayoyafanya leo, tafsiri yako juu ya changamoto zinazokukabili, unachoamua kufanya baada ya mtu kusema neno baya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…