Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanasheria wasomi Wana kamsemo kao. "Haki haitakiwi kuwa tu imetendeka. Ila inatakiwa kuonekana imetendeka.

Nilipoona simba inaongoza goal 3 halafu anaingia kagere. Nikasikia sauti inaniambia moyoni, katika benchi la ufundi pale Simba. Hakuna mwanadamu anayeweza kuja kuukwepa moto siku ya kiama. Lile benchi limebeba binadamu wakatili, ambao wakiwa shule hawakuwahi kujihangaisha kuijua tafsiri ya neno huruma.

Lakini pia nimefuatilia history ya kocha wa simba. Kumbe amewahi kufanya kazi kiwanda cha kutengeneza sumu. Teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…