Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Weekend ilikuwa poa bro..[emoji2] [emoji2]
Niaje Bro, habari ya weekend?
Tumeianza jumatatu vyema..
Habari za huko ulipo?
Weekend ilikuwa poa bro..[emoji2] [emoji2]
Niaje Bro, habari ya weekend?
Nanyi hamuelewekagi. Mkianza kupigwa nanistopu mtaanza Ole masti go mara moja.Msimu ujao utakua moto sana hasa tukiongeza bruno wa pili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema wababa wanasingiziwa mengi
Aisee vyema sana Bro! Me niko sawa sana pia.Weekend ilikuwa poa bro..
Tumeianza jumatatu vyema..
Habari za huko ulipo?
Tumshukuru Muumba Bro!!Aisee vyema sana Bro! Me niko sawa sana pia.