Haya sawa hahahahHays nimefika mama yangu,furaha yangu,panga matumizi tukatumie sawa?
Kazi kweli kweli naomba ukoko wa vyakulaNimepikia Google😛😀😀
Nataka baadae tukae kamati,tujue tuna msaidiaje.Cole keshapona ule ugonjwa wa carba-laria,soon ataenda Masaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukumbuke lengo la uziSpeed ya weekend
Umesema?????cocochanel pambana mama
Mwambie kichwa kichafu wa sasa si yule wa zamaniHahahah loh! Jamani si alikuwa ananipa moyo