Hahaaa malipo ya uhakikahahaha kitambi cha mwekezaji mchezoooo???
Asante numbisaKabisa wivu mtupu. Msosi mwepes
YummyNumbisa... upo hapo??![]()
ivi mwez wa ramadhan bado unaendeleaKabisa yani... wazee wa mkoani hawatakuelewa. Ugali tonge 3 nyama nusu kilo.![]()
reward inapokuwa nzuri mtu huweka juhudiHahaaa malipo ya uhakika
KaribuAsante numbisa
HahahahaHakunaga
Watu walijifunza kuakata mauno jamani, kuonyesha nao wamooooo
Eeeeeh
Kweli kabisareward inapokuwa nzuri mtu huweka juhudi
Loh!!! Hivi nitoke Ndaga/Ntokela ambako viazi ndio vinatoka,nikae kwenye bus masaa 14, au nisafiri kwenye Lori lililo beba viazi masaa 26, uniletee kisahani na tuvipande twa viazi huto?? Nitalala polisi siku hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natamani siku mwanaume wa mkoani aje anitembelee. Wallah ntakua namkomoa daily, hadi ajue kua kula vzr si kula sana. Mtu unakula km kiwavi jeshi bana.![]()
Hahahah loh! Jamani si alikuwa ananipa moyoTangu muda nakuangalia tu!!!
mbele kwa mbeleTwende mbele
Mkuu now nipo rikizo maana chagga nilipokea hivi karibu.Wewe mwenyewe hauleweki[emoji23] [emoji23] [emoji23]