Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nimepikia Google😛😀😀Umedownload o umepika?
Maana sijakusikia vizuri
Nimepikia Google😛😀😀Umedownload o umepika?
Maana sijakusikia vizuri
Nutritious breakfast maandazi (carbohydrates), yai (proteins), kachimbari (vitamin c na roughage), maziwa yana fats... unashushia na maji. Mtu wa mkoa ataka ale magimbi na uji (zote carbohydrates).Yummy
TaratibuSpeed ya weekend
NiceNutritious breakfast maandazi (carbohydrates), yai (proteins), kachimbari (vitamin c na roughage), maziwa yana fats... unashushia na maji. Mtu wa mkoa ataka ale magimbi na uji (zote carbohydrates).
![]()
Haya mambo ni ushirikino jamani hata jeshini tumeisitiziwa sana
Hays nimefika mama yangu,furaha yangu,panga matumizi tukatumie sawa?Hahahaha uuuuuhhhh jamani naumia hadi nakosa nguvu. Eeeh Mungu nijalie uvumilivu
Hapo ntaongeza ugaliKabisa yani... wazee wa mkoani hawatakuelewa. Ugali tonge 3 nyama nusu kilo.![]()