Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saikolojia: Watu waliopo kwenye uhusiano ulioshibana zaidi kwa kiasi kikubwa hawapendelei kuweka wazi uhusiano wao katika mitandao ya kijamii kama kupost picha zao n.k. Sababu wanakuwa na muda mwingi zaidi wa kufurahia mapenzi yao kuliko kuwaonesha watu namna uhusiano wao ulivyo.
 
Mungu ni wa ajabu sana.
Hata kwenye ndoa ipo hivyo, mwanaume anamkosea mke, mke ananuna,usiku unafika wanalala, mume anakosa usingizi, mke anashituka usiku mwingi anagundua mume yupo macho, mke anamsogelea mkosaji na kumkumbatia huku akiminya minya parachichi aone kama lina ugumu wa kulika. Mkosefu nae anarespondi kwa kumshika konokono kujua kama tayari kajivua gamba,maana atakutana na utelezi wa ngozi yake...... Kesi finishiiiii....
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 anko kwenye ubora wake
 
Hii inaitwa 'Speaking from experience'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…