moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ujage kunisalimia popote ukinionaWapi uko maana sionagi zile chips zako kule jf chef
Ubunge raha saana jamaniiiiiih mweeeeeehWatia nia mpo?
View attachment 1507390
Ni yeye mwenyewe aliyamwaga mtama hadharani. Angekausha hakuna mtu ambaye angehangaika na ndoa yake. Hata wewe bageshi ukiyaanika yako mtandaoni watu hawatakaa kimya...na kwa vile una busara zako na tumekulea vizuri hutafanya hivyo. Hata yule mzee alipotokomea na pesa za maparachichi hukukimbilia kulalamika mtandaoni bali ulikuja nyumbani tukayaongea na kuyamaliza kindugu. Hivyo ndivyo inavyotakiwa [emoji16]Sasa na nyie mlikuwa mnashabikia ya wanandoa kwa nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]