Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1594820836451.jpg
 
Huyu ndiye mwanasiasa wa maisha.
Mwanasiasa Stephen Wasira ni mtu asiye na bahati.
Mwanasiasa huyu angebahatika kupata urais wa Tanzania tungekuwa na rais wa maisha kama ilivyokuwa kwa Kamuzu Banda, Mobutu Seseseko au kama ilivyo kwa Yoweri Museveni wa Uganda, Paul Biya wa Cameroon.


Mzee Wasira gombea urais ufaidi siasa View attachment 1507569
Hata aibu hana kwa kweli lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom