Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi kwenye huu uzi huwa hamteuliwagwi?
IMG-20200715-WA0015.jpg

IMG-20200715-WA0011.jpg

IMG-20200715-WA0014.jpg
 
Kama nakuona Nipo Wizara moja nyeti sana [emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088]. (Natania bro!).
Hapana hutanii. Septemba nipo huko. Pulizi nitonye sis. Mkwara nitakaoingia nao hapo ofisini kwako watashangaa. I will be like "Ngosha the Don himuselfu in da office; what's up entangled creatures?..." huku natembea Kisukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom