mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wala picha chafu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ni yeye mwenyewe aliyamwaga mtama hadharani. Angekausha hakuna mtu ambaye angehangaika na ndoa yake. Hata wewe bageshi ukiyaanika yako mtandaoni watu hawatakaa kimya...na kwa vile una busara zako na tumekulea vizuri hutafanya hivyo. Hata yule mzee alipotokomea na pesa za maparachichi hukukimbilia kulalamika mtandaoni bali ulikuja nyumbani tukayaongea na kuyamaliza kindugu. Hivyo ndivyo inavyotakiwa [emoji16]
safiiiiii.....Tangu "aokoke" huyu binti kaacha kabisa utoto wa kusanua sanua misambwanda. Safi sana !!!
View attachment 1507514