Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Povuuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni yeye mwenyewe aliyamwaga mtama hadharani. Angekausha hakuna mtu ambaye angehangaika na ndoa yake. Hata wewe bageshi ukiyaanika yako mtandaoni watu hawatakaa kimya...na kwa vile una busara zako na tumekulea vizuri hutafanya hivyo. Hata yule mzee alipotokomea na pesa za maparachichi hukukimbilia kulalamika mtandaoni bali ulikuja nyumbani tukayaongea na kuyamaliza kindugu. Hivyo ndivyo inavyotakiwa [emoji16]
Hahaha.....mbwe mbwe na majisifu mengi kumbe tako tano tu chaaaaaali.
Huwa inatokeaga sana aisee. Ila makosa unayarekebisha kwenye mechi ya marudio [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha.....mbwe mbwe na majisifu mengi kumbe tako tano tu chaaaaaali.
Nilishaga wahi kujisifu kwa manzi mmoja hivi ila kilichotokea siku ya tukio/kupewa mzigo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Siri yangu japo na yeye alichangia kuzolota kwangu