Hahahah haya narudisha, kichwa njoo uchukue moyo wako.Kichwa kakupa moyo??? Nimepoteza msukuma wanguuuu!!! Usikubali kila kitu mama,mrudishie moyo wake haraka...
HahahahhahaNataka baadae tukae kamati,tujue tuna msaidiaje.Cole keshapona ule ugonjwa wa carba-laria,soon ataenda Masaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona anahangaikaUmesema?????
Msambazie likesNakukubali sana
Chonde kichwa,tunaheshimiana sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] nakuomba niachie nsamaka wangu,usimgiribu kama ulivyo fanya mara ya kwanza na pete zako za visoda.Sawa mkuu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu now nipo rikizo maana chagga nilipokea hivi karibu.
Angekuwa mwingine angekimbia uzi
HahahahahahKichwa kakupa moyo??? Nimepoteza msukuma wanguuuu!!! Usikubali kila kitu mama,mrudishie moyo wake haraka...
Uji vinaleta nguvh mwilinNutritious breakfast maandazi (carbohydrates), yai (proteins), kachimbari (vitamin c na roughage), maziwa yana fats... unashushia na maji. Mtu wa mkoa ataka ale magimbi na uji (zote carbohydrates).
ww jamaa uko vzr, congratsNutritious breakfast maandazi (carbohydrates), yai (proteins), kachimbari (vitamin c na roughage), maziwa yana fats... unashushia na maji. Mtu wa mkoa ataka ale magimbi na uji (zote carbohydrates).
Nakuja nsamakaHahahah haya narudisha, kichwa njoo uchukue moyo wako.
Nikuite nan sasa?!Usiniite kaka Salmah jamani
[emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818]Well done