Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

RAIS ATEUA MKUU MPYA WA MKOA DAR ES SALAAM Rais wa Tanzania, Dkt. MagufuliJP amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Kabla ya uteuzi huo, Bw. Kunenge alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Paul Makonda.
 
Nimependa utaratibu huu. Kama unagombea ubunge unaachia kwanza cheo ulichonacho. Na huna uhakika wa kushinda wala kurudia cheo chako. Inabidi ufikiri mara mbilimbili. Na siyo unagombea ubunge huku uko mkuu wa mkoa unatumia ma V8 na influence ya cheo chako. Siyo fair kwa washindani wako. Makonda bila shaka anautaka ubunge ili awe waziri (mkuu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…