moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Na mie nilipata wazo hilo la kuwa waziri mkuu,kile ni kiatu kikubwa sana kwake hakimtoshiNimependa utaratibu huu. Kama unagombea ubunge unaachia kwanza cheo ulichonacho. Na huna uhakika wa kushinda wala kurudia cheo chako. Inabidi ufikiri mara mbilimbili. Na siyo unagombea ubunge huku uko mkuu wa mkoa unatumia ma V8 na influence ya cheo chako. Siyo fair kwa washindani wako. Makonda bila shaka anautaka ubunge ili awe waziri (mkuu)
Wana tamaa ya kufikia malengo kwa harakaVijana waliozaliwa 1982 wana nini?
View attachment 1508352
Utopolo mpaka mnafungwa na Aseno dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani wewe Naddy na uandaeitini wako huo hutaki kufikia malengo yako kwa haraka?Wana tamaa ya kufikia malengo kwa haraka
Dah.. mimi Mhenga kama wewe MkuuKwani wewe Naddy na uandaeitini wako huo hutaki kufikia malengo yako kwa haraka?
Mzima lakini? Nimekutafuta sijaona ukichukua fomu usukumani kuleKwani wewe Naddy na uandaeitini wako huo hutaki kufikia malengo yako kwa haraka?