myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Habari ni kuchukua fomu.......
Ila wasukuma wana miondoko ya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...unakuta msuku anatembea kama gari imekata central bolt[emoji23][emoji23](upande upande)Hapana hutanii. Septemba nipo huko. Pulizi nitonye sis. Mkwara nitakaoingia nao hapo ofisini kwako watashangaa. I will be like "Ngosha the Don himuselfu in da office; what's up entangled creatures?..." huku natembea Kisukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
Uwaziri Mkuu?Nimependa utaratibu huu. Kama unagombea ubunge unaachia kwanza cheo ulichonacho. Na huna uhakika wa kushinda wala kurudia cheo chako. Inabidi ufikiri mara mbilimbili. Na siyo unagombea ubunge huku uko mkuu wa mkoa unatumia ma V8 na influence ya cheo chako. Siyo fair kwa washindani wako. Makonda bila shaka anautaka ubunge ili awe waziri (mkuu)
Tumekuwa wa kufungwa kirahisi aseee.Utopolo mpaka mnafungwa na Aseno dah [emoji16][emoji16][emoji16]
AminMungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji120]
Hongera wakulima woote....