myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hongera wakulima
SafiiTumekuwa wa kufungwa fungwaView attachment 1508502
9.Nguva (sea cow)Huyu ni mnyama ajulikanae kama Ng'omba maji,anaishi majini na huweza kukaa na mimba kwa muda wa miezi 12.
4 .Kifaru (Rhino)Ni mnyama mkubwa mwenye pembenmoja mbele juu ya mdomo wake.Huyu huweza kukaa na mimba miezi 15 hadi 16
[emoji16][emoji16] karbu sana Bro... Lazima ukabidhiwe kipande cha tofari kwanzaMshindweeeee [emoji351][emoji351][emoji351]
Nikaribishe kazini kwako Esta uje uone mkwara nitakaoingia nao [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe bro tutamalizana siku nitakayotinga hapo kwako. Msiponifungashia mawe ya kutosha siondoki [emoji16]
Tofali mi ntalipeleka wapi?[emoji16][emoji16] karbu sana Bro... Lazima ukabidhiwe kipande cha tofari kwanza
Aiseemovie ya set it off wakat inatoka, August Alsina alikuwa ana miaka mi4...[emoji16]
Kweli ng'ombe hazeeki mainiView attachment 1508619
Kibibi hichi bado mabaharia wanakiburuza tu. Tako hakana yaani kapo kapo tu. Sijui sababu ya uselebriti lakini kama huyo dogo saizi yake awaburuze akina Rihanna na akina Ariana Grande. Yeye anakwenda kuburuza kajimama ambako kanaweza hata kumzaa.movie ya set it off wakat inatoka, August Alsina alikuwa ana miaka mi4...[emoji16]
Kweli ng'ombe hazeeki mainiView attachment 1508619